Skip to main content

Posts

Showing posts from March 29, 2016

TAFAKARI 6 ZA WATUMISHI WA MUNGU

Nabii Lightness Somi "Ukiwa ni mtu wa kusikiliza utapotea,ukiwa ni mtu wa kusikia utafanikiwa" -LIGHTNESS SOMI Mtume na Nabii Josephat E. Mwingira  "Tendo lolote baya, neno lolote baya na wazo lolote baya halina uhai. Kushindwa kwa mtu, kuharibiwa kwa mtu kuko katika mawazo yake. Chochote kibaya unachowaza au kusema au kutenda ni kwa ajili ya uharibifu wako, kushindwa kwako, kuangamia kwako na kifo chako.Kabla hujafanya jambo tafakari sana hilo wazo litaleta uharibifu au uhai wako? "-JOSEPHAT MWINGIRA Mwl. Mwakasege "Usifanye maombi ya kutaka kama vile" kumlazimisha " Mungu, ili akupe nje ya ratiba yake;kile alichokupangia ukipate, kufuatana na njozi aliyo nayo juu yako" .- MWL. MWAKASEGE Pastor. Chriss Oyakhilome "Jaribu linaweza lisiondoke hata ukiomba, na lisipo ondoka ina maana Mungu anaamini amekufundisha vya kutosha kuweza kushinda hilo jaribu" .-CHRISS OYAKHILOME Prophet T.B Joshua "Mtu mwenye ma...

Ni mfalme gani wa israel ambaye alifanya israel igawanyike na kua falme mbili?

Total Pageviews

Followers