Skip to main content

Posts

Showing posts from April 1, 2016

MSAMAHA

Bwana asifiwe wapendwa, Unapoishi na wanadamu kukosana kupo, Nikama glasi kwenye kabati zinazo kaa pamoja huwa hazikosi kugongana ...ndivo na binadamu wakaao pamoja amnavyo hawakosi kuhitilafiana Pengine MUNGU ana maana yake ,wewe ukosewe,uachiliea MSAMAHA, ili nayeye akuchukue viwango fulani vya juu kwa sababu tu umetii agizo lake juu ya MSAMAHA. KUSAMEHE NI AGIZO LA MUNGU >Samehe saba Mara sabini Luka  17: 4 " Na kama akakukosa Mara saba katika siku moja,na kurudi kwako Mara saba akisema nimetubu samehe. >Ukisamehe utasamehewa Mathayo  6;14-15 Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao,na Baba wenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao,wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu. >Samehe kama ulivyosamehewa Kumbuka waliotutangulia (Adam na Hawa) walivunja mzizi wa utii ,wakatuingiza kwenye mkumbo wa uovu..... Warumi 3: 23-24 " kwa sababu wote wamefanya dhambi na kupungukiwa utukufu wa MUNGU Wanahesabiwa haki bure kwa neema y...

Ni mfalme gani wa israel ambaye alifanya israel igawanyike na kua falme mbili?

Total Pageviews

Followers