Skip to main content

Posts

Showing posts from April 18, 2016

SILAHA ZA VITA VYA ROHONI PART TWO

  BERNARD STEVEN B wana YESU asifiwe, Napenda kuendelea na mwendelezo wa somo letu la silaha za vita vya rohoni, tumeshaangalia silaha mbili sasa leo naendelea na silaha ya tatu na kuendelea, neno tunalo simamia ni:- waefeso 6:14-17 14 Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, 15 na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani; 16 zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. 17 Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu   3-Kufungiwa utayari katika miguu M iguu isiyokua tayari kwenda sehemu mwili huwezi kwenda, miguu ni sehemu muhimu kwa mwanadamu kwani mawazo huanza kwenye ufahamu lakini ili mawazo yako yatimie lazima uchukue hatua. vivyo hivyo sisi tuliofanyika wana wa MUNGU ni lazima tuwe na utayar wa kwenda kuhubiri injili kwa mataifa yani kwa wale wasiomjua YESU au wanamjua YESU lakini hawajui uweza wake. MA...

Ni mfalme gani wa israel ambaye alifanya israel igawanyike na kua falme mbili?

Total Pageviews

Followers