Skip to main content

Posts

Showing posts from April 30, 2016

NAWAPENDA WALE WANIPENDAO NA WENYE KUNITAFUTA KWA BIDII WATANIONA

Bwana Yesu asifiwe sana Kichwa cha ujumbe huu nimekitoa kwa Biblia: Mithali 7:18 "Nawapenda wanipendao na wenye kunitafuta kwa bidii wataniona ". Hii ni sauti ya Bwana Mungu akituelezea upendo wake kwetu. Ni vigumu hata kwa maisha ya kibinadamu kumpenda asiyekupenda. Ili upendwe ni lazima mwenyewe uwe unapenda kwa maana upendo haulazimishwi na uwezi kupendewa na mtu mwingine. Ili Mungu akupende ni lazima uonyeshe dhana ya kumpenda kupitia njia tofauti. Ili umpate Mungu ni lazima umtafute na sio kumtafuta pekee ila umtafute kwa bidii ndio umuone. Kumbuka watu wanaomtafuta Mungu duniani ni wengi sana hivyo unahitajika kumtafuta kwa bidii sana ndio umpate. Unapomtafuta Mungu ujue kuna mamilioni pia wanamtafuta Mungu yuyo huyo na na unahitajika utie bidii zaidi ili uwe wa kwanza kumuona. Mungu mwenyewe ni Roho na ndio umuone ni lazima uwe na macho ya kiroho. NJIA ZA KUMTAFUTA MUNGU WA MBINGUNI Kuna njia tano za kumtafuta Mungu wa mbinguni ili umuone ndani ya maisha...

Ni mfalme gani wa israel ambaye alifanya israel igawanyike na kua falme mbili?

Total Pageviews

Followers