Waebrania 11-1
"basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo,ni bayana ya mambo yasiyoonekana"
- Imani inakupa kuamini kama Mungu yupo kwasababu hamna ambaye ameshamuona MUNGU
- Imani inafanya muujiza kutokea kwako,usipokua na imani hutopokea muujiza wako
- Imani inasababisha wewe kwenda mbele, watu wengi wanajizuilia kupokea kwa kuangalia mazingira yao..Jaribu unalopita nalo lisikutoe kwenye kusudi lako.
- Kama huna imani hutompendeza Mungu
- Mungu hufanya makao kwa mtu mwenye imani
- Kipimo cha imani ni upendo [ukimpenda Mungu utafanya yale anayosema.]
- Imani ndo inamfanya mtu asitende dhambi kwasababu anaamini Mungu hapendezwi na dhambi.
- Ukiwa tayari kutumika na Mungu,Mungu atakutumia
Comments
Post a Comment