Nikupe mfano mzuri kwa watu ambao walienda vizur bila majaribu afu mwisho ulivokua
Unamkumbuka lutu
Wakati wa sodoma Mungu alivoshusha moto aliwaambia wakimbie
unaona mwisho wa lutu ulivokua aliishi kwenye pango ulevi ukamzidiia na akalala na watoto wake
Waone kina shedrak
Mungu hakuwaambia wakimbie moto bali waliingia ndani ya moto na wakatoka wazima
Sasa walinganishe kati ya yule aliengia kwenye moto na yule aliekimbia moto nani aliishi vizur baada ya moto
Kwahio majaribu yakija ujue una mwisho mzuri
Comments
Post a Comment