Skip to main content

JIUNGE NASI KWENYE GROUP LA WHATSAPP

Bwana YESU asifiwe,

karibuni kwenye kundi letu la whatsapp am
bamo tunashirikishana neno la MUNGU

Wasiliana nasi kwa namba hii 0625514743
 kama unataka kuunganishwa

Comments

  1. Naomba kuunganishwa.
    0725949531(Kenya).

    ReplyDelete
  2. Naomba kuunganishwa group namba 0626630827

    ReplyDelete
  3. Naomba kuunganishwa 0765966768

    ReplyDelete
  4. Naomba kuunganishwa katika group la magundisho ya kiMungu

    ReplyDelete
  5. 0753539091 niunge namm

    ReplyDelete
  6. Naomb Niunge 0786419055

    ReplyDelete
  7. Naomba uniunganishe 0756425085

    ReplyDelete
  8. Naomba uniogee 0782017988

    ReplyDelete
  9. Nahtaj kuokoka kujengwa katka wokovu
    0687170454

    ReplyDelete
  10. Mm nko mbeya sna sm kbwa
    Na nafanya kazi kwa mtu
    Grocery ila maisha haya siyataki
    0687170454

    ReplyDelete
  11. Regis Alex nipo kibaha. 0782118297

    ReplyDelete
  12. Naomba to be added to the WhatsApp group

    ReplyDelete
  13. 0710992890 binge (Tanzania)

    ReplyDelete
  14. Naomba kuunganishwa kwenye group la watumishi wa Mungu hili 0657511640

    ReplyDelete
  15. Tafiti zinaonesha Asilimia 90 ya biashara kubwa Kwa ndogo hufanyika mtandaoni hii ni kwasababu ya ongezeko kubwa la vifaa vya mtandao kama vile smartphones na computers.

    Ebu tuichukulie hii kama fursa Kwa sisi wenye biashara ndogo na za kati kwasababu tunafursa ya kumfikia mteja popote alipo.

    Changamoto inayowakumba wengi ni kutegemea zaidi kwenye mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Instagram, Twitter (X) na Whatsapp katika kutangaza bidhaa zao jambo ambalo linapelekea kukosa kuaminiwa mbele za wateja wao.

    Kwa kulitambua Hilo

    *🔮 TANZANIA WEB CREATOR 🔮*

    Tumekuja na suruhisho Kwa kutengeneza website nzuri na itakayokizi mahitaji yako tena Kwa gharama nafuu zaidi.

    Unaweza kujiuliza kwanini umiliki website..?

    Jibu ni rahisi sana
    1. kupitia website utakuza jina au brand ya biashara Yako

    2. Utaongeza uhaminifu/imani Kwa wateja wako

    3. Utaweza kusimamia shughuri zote za mauzo na manunuzi kupitia website Yako,

    4. Itakupa motisha ya kuipambania biashara yako bila kujali ukubwa wa biashara Yako.

    Kwa kawaida biashara inayoendeshwa Kwa mtaji kuanzia laki 1 na nusu inafaa kabisa kutumia website katika kutafuta wateja, kukuza brand na kusimamia shughuri za biashara hio


    Wengi wamekuza biashara kupitia website zao na hii ndio maana harisi ya Dunia kiganjani kwasababu Hakuna jambo linalochochea mafanikio ya biashara kama uwepo thabiti mtandaoni.

    Tunatengeneza websites kwa ajili ya:
    ✅ Biashara kubwa na ndogo
    ✅ Maduka ya mtandaoni
    ✅ Website za kitaaluma
    ✅ Huduma za malazi na usafiri
    ✅ Taasisi za elimu, afya, na mengineyo

    Tunazingatia:
    🔹 Muonekano wa kipekee unaovutia wateja wako
    🔹 Urahisi wa kutumia kwa watumiaji wote
    🔹 Mchango wa teknolojia ya kisasa kuhakikisha ufanisi wa tovuti yako

    *Malipo ni baada ya kazi*

    Endapo utaitaji huduma hii gusa link hii.
    https://wa.me/255615370336?text=hello%20Naitaji%20website%20kwajili%20ya%20biashara%20yangu

    ReplyDelete

Post a Comment

Ni mfalme gani wa israel ambaye alifanya israel igawanyike na kua falme mbili?

ZILIZOPENDWA ZAIDI

KANUNI ZA KUFANYA ILI MAOMBI YAKO YAJIBIWE NA MUNGU (SEHEMU YA KWANZA)

       ISAYA 28:13 "Kwa sababu hiyo neno la BWANA kwao litakuwa hivi, amri juu ya amri, amri juu ya amri, KANUNI juu ya KANUNI, kanuni juu ya kanuni; huku kidogo na huku kidogo......" Mungu huwa anafanya kazi kwa kutumia kanuni zake alizojiwekea ili kuyaendesha maisha ya mwanadamu Kwahiyo unapofanya maombi ni lazima uelewe kanuni za Mungu anazotumia katika kujibu maombi ya wanadamu waliopo hapa duniani. Na kanuni hizo utazipata ndani ya Neno la Mungu, mimi kama mwalimu nataka nikusaidie kukuonyesha baadhi ya kanuni hizo. HATUA NNE ZA KUPITIA MAOMBI: Katika wewe kuomba huwa hayo maombi yako ni lazima yapitie ngazi/hatua hizi { i } Ni kuomba Nilazima wewe uombe hilo ni jukumu lako. { ii } Ni Mungu kusikia maombi yako. Unapoomba hatua inayofuata ni Mungu kusikia hayo maombi. { iii } Ni Mungu kutafakari hayo maombi yako. Baada ya wewe kuomba na Mungu kutafakari, huwa hatua inayofuata ni Mungu kuyatafakari hayo maombi yak...

HASARA ZA MANUNG'UNIKO

BERNARD STEVEN B wana YESU asifiwe,  Napenda tujifunze kuhusu manung'uniko na hasara zake kwa wewe MKRISTO. Nini maana ya Manung'uniko? N aweza kusema manun'guniko ni ile hali ya kulaumu au kulalamika kwa habari ya jambo fulani na kuona kua hustahili kupitia unayopitia. M ara nyingi mtu mwenye manung'uniko ni mtu ambaye hana shukrani mbele za MUNGU, mtu wa aina hii akipitishwa kwenye majaribu kidogo tu huoni kana kwamba MUNGU hayupo na anaweza hata kutoa maneno ya kufuru mbele za MUNGU. K abla hujaanza kunung'unika kwa habari ya hayo unayopita nayo, ebu jaribu kutafakari ulipotoka na ulipo sasa. H ivi unatambua kua hata pumzi uliokua nayo ni jambo la kusema asante kwa MUNGU. H ujajiuliza tu kwanini majaribu kwako hayaishi, basi tambua mengine si majaribu bali ni adhabu MUNGU ana achilia kwako kwa kunun'gunika, tambua kua wewe si wa kwanza kupitia majaribu, wapo wengi wamepitia na wameshinda. HASARA ZA MANUNG'UNIKO  Kufa kiroho kabisa ...

KANUNI ZA KUFANYA ILI MAOMBI YAKO YAJIBIWE NA MUNGU.(SEHEMU YA PILI)

Shalom rafiki yangu karibu sana tena leo katika somo letu hili la kupata maarifa ya kiroho. { Sehemu ya pili } Jana nilikuonyesha kanuni tatu nataka leo tuendelee na kanuni nyingine ambazo zitamfanya Mungu ajibu maombi yako, kwahiyo ni muhimu sana kuzifanyia kazi hizi kanuni kwasababu zitafanya maombi yako kujibiwa haraka na Mungu. KANUNI HIZO ZA KUMFANYA MUNGU AJIBU MAOMBI YAKO NI PAMOJA NA: 4 Muombaji sharti uliweke Neno la Mungu kwa wingi ndani ya moyo wako.     YOHANA 15:7 "Ninyi mkikaa ndani yangu, na MANENO yangu yakikaa NDANI YENU, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa"    WAKOLOSAI 3;16 "Neno la Kristo na likae au lidumu kwa wingi ndani yenu katika hekima yote"     YEREMIA 1:12 "Ndipo BWANA akaniambia, umeona vema; kwa maana ninaliangalia Neno langu, ili nilitimize" Maombi yanayoombwa kwa msingi wa Neno la Mungu huwa yanaleta majibu ya haraka kwasababu kanuni ya Mungu huwa ni kuliangalia Neno lake na ku...

Total Pageviews

Followers